Habari Mpya
-
13
September
2021MRADI WA SGR WAPAMBA MOTO, TRENI YATEMBEA KUTOKA PUGU HADI KILOSA
Kipande cha reli kutoka Pugu Dar es Salaam hadi Kilosa mkoani Morogoro chakamilika ambapo Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amembelea kipande hiko cha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
10
September
2021TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA KUHAMISHA MAKABURI
Shirika la Reli Tanzania - TRC hivi karibuni limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kama kifuta machozi kwa ndugu wa marehemu sita katika mtaa wa Kifuru kata ya Kinyerezi Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam Soma zaidi
-
05
September
2021KATIBU MKUU UTUMISHI ATEMBELEA MRADI WA SGR, WATUMISHI ZAIDI YA 1000 KUAJIRIWA
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro pamoja na Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wametembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha Morogoro – Makutupora Septemba 04, 2021. Soma zaidi
-
05
September
2021MRADI WA SGR MAKUTUPORA – TABORA, TABORA – ISAKA KUANZA HIVI KARIBUNI
Shirika la Reli Tanzania – TRC linatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR kipande cha Makutupora – Tabora (KM 371) na Tabora – Isaka (KM 162), hivi karibuni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Soma zaidi
-
30
August
2021RIPOTI ZAFANANA NA UHALISIA; MRADI WA SGR MOROGORO – MAKUTUPORA WAFIKA 70%
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, sekta ya Uchukuzi Bw. Gabriel Migire ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Morogoro – Makutupora katika eneo linalojengwa Mahandaki Kilosa mkoani Morogoro Agosti 29, 2021. Soma zaidi
-
14
August
2021JAMII YA WAFUGAJI MOROGORO VIJIJINI YAPEWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA VIVUKO KUEPUSHA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC likiendelea na kampeni ya uelewa kwa jamii kuhusu usalama na ulinzi wa miundombinu ya Reli ya kisasa – SGR Soma zaidi