Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Mradi Isaka - Mwanza

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya Mwanza - Isaka yenye urefu wa kilometa 341 ambapo njia kuuni km 49 na Mapishano km 92 utagharimu kiasi cha Shilingi Trilioni 3.0617.

Jumla ya Stesheni nane (8) zitajengwa ambazo ni Isaka, Bokene, Shinyanga, Seke, Malampaka, Bukwimba, Mantare, Mwanza Central na Karakana Kuu eneo la Fela (Mwanza)