Habari Mpya
-
24
November
2022WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA MOROGORO – MAKUTUPORA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Morogoro – Makutupora katika jengo la stesheni kuu ya SGR jijini Dodoma, Novemba 24, 2022. Soma zaidi
-
19
November
2022WANANCHI WAENDELEA KUUNGA MKONO UJENZI WA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kufanya zoezi la utwaaji ardhi kwa wananchi ili kupisha ujenzi wa njia ya umeme katika ujenzi mradi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
15
November
2022WANANCHI WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME SGR MKOANI MOROGORO
Shirika la Reli Tanzania limelipa fidia kwa wananchi wa kijiji cha Lukobe Juu mkoani Morogoro katika kipande cha pili Morogoro - Makutupora, Novemba 2022. Soma zaidi
-
10
November
2022WAZIRI WA MIUNDOMBINU WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO ATEMBELEA MRADI WA SGR
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Tanzania Prof. Makame Mbarawa akiongozana na Waziri wa Miundombinu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - DRC Alexis Gusaro pamoja na viongozi wengine kutoka DRC Soma zaidi
-
08
November
2022TRC IMESAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MASHINE NA MITAMBO YA MATENGENEZO YA NJIA YA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC na Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini wamesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya reli ya kisasa – SGR Soma zaidi
-
03
November
2022WANANCHI WAENDELEA KUTOA MAENEO KUPISHA NJIA YA UMEME MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi ili kupisha njia ya umeme ya ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa - SGR Soma zaidi