Habari Mpya
-
25
August
2020TRENI YA KWANZA YA ABIRIA YAWASILI JIJINI ARUSHA BAADA YA ZAIDI YA MIAKA 30
Treni ya kwanza ya abiria ya majaribio yawasili jijini Arusha ikitokea Dar es Salaam na Moshi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan kimanta, Soma zaidi
-
21
August
2020SHANGWE: WANAKIJIJI PANGAWE NA MIKESE MKOANI MOROGORO, WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA RELI YA KISASA
Shirika la Reli Tanzania linaendelea na zoezi la ulipaji wa fidia kwa awamu katika maeneo ya Morogoro vijijini ili kupisha ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro, Agosti hivi karibuni 2020. Soma zaidi
-
21
August
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA LIMEENDELEA KUFANYA UELIMISHAJI KWA JAMII KUHUSU UHAMISHAJI MAKABURI
Shirika la Reli Tanzania – TRC limeendelea kufanya mazungumzo na viongozi wa Serikali kwa ngazi ya wilaya, Vijiji na Kata pamoja na wananchi walengwa. Soma zaidi
-
19
August
2020WANANCHI WA MITAA YA AZIMIO, KIHONDA KASKAZINI NA YESPA WASHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KULIPA FIDIA ZAO.
Wananchi wa Mitaa ya Azimio, Kihonda kaskazini na Yespa vya kata ya Kihonda Mkoni Morogoro Waanza kulipwa fidia zao Agosti 19,2020. Soma zaidi
-
15
August
2020SHIRIKA LA RELI LAENDELEA NA KAMPENI YA ELIMU YA UELEWA KUHUSU USALAMA NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA RELI
Katika muendelezo wa Kampeni ya Uelewa kuhusu namna ya kudhibiti ajali katika reli kwa kuzingatia alama za usalama katika miundombinu ya reli Shirika limeendelea na zoezi hilo kwa kufanya mikutano na wananchi Soma zaidi
-
14
August
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI WASHIRIKIANA KITAALUMA
Shirika la Reli Tanzania – TRC na Baraza la Uongozi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji – NIT wamefanya mazungumzo huku lengo likiwa kuimalisha uhusiano baina yao sambamba na kuona changamoto ya rasilimali watu katika taaluma ya reli. Soma zaidi