Habari Mpya
-
03
March
2023TRC NA WFP IMEPOKEA TAARIFA YA UTAFITI WA USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA
.. Soma zaidi
-
23
February
2023WADAU WA VIPINDI VYA ELIMU KWA UMMA WATEMBELEA MRADI WA SGR
Washiriki wa mkutano wa 107 wa waandaaji wa vipindi vya elimu kwa umma wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania – TBC Dkt. Ayub Rioba Chacha Soma zaidi
-
17
February
2023PROF. KONDORO ATAMBULISHA WAJUMBE WAPYA BODI YA WAKURUGENZI TRC
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Reli Tanzania – TRC Prof. John Wajanga Kondoro ametambulisha wajumbe wapya wa bodi ya wakurugenzi TRC Soma zaidi
-
16
February
2023WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WATEMBELEA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea ugeni wa Wahariri wa vyombo vya habari nchini kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
14
February
2023WASHIRIKI KOZI FUPI YA UTEKELEZAJI WA SERA NA MIPANGO WATEMBELEA SGR
.Washiriki wa kozi fupi ya utekelezaji wa sera na mipango kwa viongozi kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi wametembelea Shirika la Reli Tanzania Soma zaidi
-
31
January
2023KATIBU MKUU CCM: SGR MWAROBAINI WA ADHA YA MTO MKONDOA
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ametembelea Stesheni ya Reli ya kisasa, Kilosa mkoani Morogoro iliyopo katika kipande cha pili cha mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, Morogoro – Makutupora, Januari 30,2023. Soma zaidi