Habari Mpya
-
-
04
June
2025TAASISI ZA UCHUKUZI ZA PANDA MITI STESHENI YA SAMIA DODOMA
Shirika la Reli Tanzania (TRC), limeungana na taasisi 14 nyingine zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi kupanda miti takribani 50 katika Stesheni Kuu ya Samia Suluhu SGR) Jijini Dodoma, kuadhimisha wiki ya mazingira Duniani Soma zaidi
-
03
June
2025TRC YAFANYA USAFI UWANJA WA NDEGE DODOMA.
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeungana na Taasisi zingine kutoka Wizara ya Uchukuzi kufanya usafi katika kiwanja cha Ndege cha Dodoma ikiwa ni sehemu yamaadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani Soma zaidi
-
29
May
2025DIASPORA KUTOKA UINGEREZA WAISIFIA SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Serikali kupitia Shirika hilo imetekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kufuatia kuanza kwa operesheni kwenye mradi mkubwa wa kimkakati wa reli ya umeme (SGR) ambapo hadi Soma zaidi
-
26
May
2025TANZANIA YAWAFUNDA WAZAMBIA KUHUSU SGR
Kamati ya Bunge ya Utawala wa Mitaa, Makazi na Masuala ya Machifu kutoka nchini Zambia, imelitembelea Shirika la Reli Tanzania hususani Stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam Soma zaidi
-
06
May
2025RASILIMALI WATU; BIASHARA INAYOWEZESHA
Kurugenzi ya Utawala na Rasilimali watu ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), imesema Rasilimali watu ni biashara inayowezesha kwa kuleta mfumo wa kushirikiana na idara nyingine katika kila jambo. Soma zaidi