Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • ​TRC YAENDELEA NA KAMPENI YA UELEWA KUHUSU MAJARIBIO YA MIFUMO YA UMEME KATIKA RELI YA KISASA
  17
  May
  2022

  ​TRC YAENDELEA NA KAMPENI YA UELEWA KUHUSU MAJARIBIO YA MIFUMO YA UMEME KATIKA RELI YA KISASA

  Timu ya mawasiliano kutoka Shirika la Reli Tanzania – TRC limeendelea na kampeni ya uelewa kuhusu majaribio ya mifumo ya umeme katika reli ya kisasa mkoani Morogoro Mei 17, 2022. Soma zaidi

 • ​KATIBU MKUU KIONGOZI AFANYA ZIARA KWALA AKAGUA BANDARI KAVU NA KARAKANA YA SGR
  16
  May
  2022

  ​KATIBU MKUU KIONGOZI AFANYA ZIARA KWALA AKAGUA BANDARI KAVU NA KARAKANA YA SGR

  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga akagua bandari kavu ya kwala pamoja na kituo cha treni za kisasa za mizigo na karakana, Kwala mkoani Pwani Mei 15, 2022. Soma zaidi

 • ​TRC YAENDELEA KUTWAA ARDHI WILAYA YA KWIMBA - MWANZA
  16
  May
  2022

  ​TRC YAENDELEA KUTWAA ARDHI WILAYA YA KWIMBA - MWANZA

  Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la kuhamisha makaburi kwa awamu ya tatu kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi

 • TRC YALIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA MRADI WA SGR, MOROGORO
  13
  May
  2022

  TRC YALIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA MRADI WA SGR, MOROGORO

  Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na ulipaji fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo yao kupisha upitishaji wa miundombinu ya reli ya Kisasa - SGR mkoani Morogoro, Mei 2022 Soma zaidi

 • MAJARIBIO YA MIFUMO YA UMEME KATIKA RELI YA KISASA (SGR ) DAR- MORO YAANZA RASMI
  27
  April
  2022

  MAJARIBIO YA MIFUMO YA UMEME KATIKA RELI YA KISASA (SGR ) DAR- MORO YAANZA RASMI

  Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa kushirikiana na Mkandarasi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kampuni ya Yapi Merkezi limeanza zoezi la majaribio ya umeme Soma zaidi

 • ​KAMPENI YA UELEWA KWA JAMII KUHUSU UJENZI WA SGR YAZIDI KUSHIKA KASI MAKUTUPORA – TABORA
  25
  April
  2022

  ​KAMPENI YA UELEWA KWA JAMII KUHUSU UJENZI WA SGR YAZIDI KUSHIKA KASI MAKUTUPORA – TABORA

  Shirika la Reli Tanzania TRC, limeanza kampeni maalumu ya uelewa kwa jamii kuhusu mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi