Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA MAKUTUPORA - TABORA
  28
  December
  2021

  RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA MAKUTUPORA - TABORA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGRkipande cha Tatu Makutupora – Tabora chenyeurefu wa kilomita 368 katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam Disemba 28 , 2021. Soma zaidi

 • ​ZAIDI YA ABIRIA 1,500 WATUMIA USAFIRI WA TRENI KUTOKA DAR- ARUSHA
  24
  December
  2021

  ​ZAIDI YA ABIRIA 1,500 WATUMIA USAFIRI WA TRENI KUTOKA DAR- ARUSHA

  Shirika la Reli Tanzania linaendelea na huduma za usafiri wa treni katika mikoa ya Kaskazini kutoka Dar es Salaam, Moshi hadi Arusha ambapo zaidi ya abiria 1,500 wameondoka na treni ya Deluxe yenye behewa 20 jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha, Disemba 24, 2021. Soma zaidi

 • ​MHE. KASEKENYA; WAZAWA ZAIDI YA 1000 KUPEWA KIPAUMBELE CHA AJIRA MRADI WA SGR
  23
  December
  2021

  ​MHE. KASEKENYA; WAZAWA ZAIDI YA 1000 KUPEWA KIPAUMBELE CHA AJIRA MRADI WA SGR

  ​Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Mhandisi Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza kutoka Morogoro hadi Dar es Salaam Disemba 22, 2021. Soma zaidi

 • ​KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA DAR – MORO
  21
  December
  2021

  ​KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA DAR – MORO

  Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein Kattanga atembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro ikiwa ni ziara ya kikazi kuona maendeleo ya mradi wa SGR, Disemba 20, 2021. Soma zaidi

 • ​CHUO CHA TEKNOLOJIA YA RELI NCHINI CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA
  18
  December
  2021

  ​CHUO CHA TEKNOLOJIA YA RELI NCHINI CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA

  Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania – TIRTEC chafanya mahafali ya kwanza kwa wahitimu wa ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa wahitimu wa taaluma mbalimbali, mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya chuo cha reli mkoani Tabora, Disemba 18, 2021. Soma zaidi

 • ​WAKAZI 500 KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI WA SGR- KILOSA
  08
  December
  2021

  ​WAKAZI 500 KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI WA SGR- KILOSA

  Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya umeme ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha pili Morogoro- Makutupora Soma zaidi