Habari Mpya
-
30
December
2023VICHWA 3 VYA TRENI YA UMEME VYAWASILI NA MABEHEWA 27
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea Vichwa vipya 3 vya treni za umeme na Mabehewa mapya ya abiria 27 Soma zaidi
-
20
December
2023SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAONGEZA SAFARI ZA TRENI ZA ABIRIA MSIMU WA SIKUKUU ,KWA NJIA YA KASKAZINI
-
14
December
2023BODI YA WAKURUGENZI TRC YAKAGUA RELI YA ZAMANI DAR – KALIUA
Bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania TRC imekagua njia ya reli ya MGR Dar es Salaam hadi Kaliua, Disemba 2023 Soma zaidi
-
11
December
2023WAZIRI MBARAWA ARIDHISHWA NA MAJARIBIO YA KICHWA CHA TRENI YA SGR
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Professor Makame Mbarawa afanya ziara fupi ya kuona majaribio ya kichwa cha treni ya umeme Soma zaidi
-
09
December
2023408 WAHITIMU KATIKA MAHAFALI YA TATU YA TIRTEC
Wahitimu 408 wamehitimu mafunzo ya ngazi ya Stashahada, Astashahada ya Awali na Astashahada katika Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania – TIRTEC katika mahafali yaliyofanyika mkoani Tabora, Disemba 8, 2023. Soma zaidi
-