Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • ​WATAALAMU MAMLAKA ZA HALI YA HEWA BARANI AFRIKA NA ULAYA WAZURU SGR
  16
  September
  2022

  ​WATAALAMU MAMLAKA ZA HALI YA HEWA BARANI AFRIKA NA ULAYA WAZURU SGR

  Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea wajumbe takribani 150 kutoka Mamlaka za Hali ya Hewa Barani Afrika na Mashirika ya Satelite Barani Ulaya kutembelea ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR Septemba 15, 2022. Soma zaidi

 • WANANCHI MKOANI SHINYANGA NA MWANZA WAPOKEA HUNDI ZA MALIPO YA FIDIA
  15
  September
  2022

  WANANCHI MKOANI SHINYANGA NA MWANZA WAPOKEA HUNDI ZA MALIPO YA FIDIA

  Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la kukabidhi hundi za malipo ya fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo yao mkoani Shinyanga na Mwanza, Septemba 2022 Soma zaidi

 • ​TRC YATWAA ARDHI SHINYANGA MANISPAA KUENDELEZA UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TANO ISAKA - MWANZA
  15
  September
  2022

  ​TRC YATWAA ARDHI SHINYANGA MANISPAA KUENDELEZA UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TANO ISAKA - MWANZA

  Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea kutwaa ardhi katika manispaa ya Shinyanga kupisha mradi wa reli ya kisasa katika kipande cha Tano ambacho ni Isaka - Mwanza, Septemba 2022. Soma zaidi

 • ​TRC, TANAPA KUSHIRIKIANA KUKUZA UTALII WA NDANI
  10
  September
  2022

  ​TRC, TANAPA KUSHIRIKIANA KUKUZA UTALII WA NDANI

  Shirika la Reli Tanzania - TRC yashirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania - TANAPA kukuza utalii wa ndani baada ya kutembelea kituo cha stesheni ya Mvave Soma zaidi

 • ​WAKUFUNZI KUTOKA KORAIL WAFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA SGR DAR - MORO
  10
  September
  2022

  ​WAKUFUNZI KUTOKA KORAIL WAFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA SGR DAR - MORO

  Wafanyakazi zaidi ya 30 wa Shirika la Reli Tanzania - TRC wakiambatana na wataalamu 15 kutoka Shrika la Reli la Korea - KORAIL na wafanya ziara ya siku mbili kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro Septemba 2022. Soma zaidi

 • ​TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA UTWAAJI ARDHI MKOANI SHINYANGA
  05
  September
  2022

  ​TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA UTWAAJI ARDHI MKOANI SHINYANGA

  TRC imefanya zoezi la uhamishaji makaburi katika vijiji vya Didia, Sumbigu, Ishololo, Puni, Nyashimbi, Zobogo, Bunonga na Sumbigu Wilaya ya Shinyanga vijijini Septemba 2022 Soma zaidi