Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • TRC YAPOKEA BEHEWA 14 MPYA ZA SGR KWAAJILI YA ABIRIA
  25
  November
  2022

  TRC YAPOKEA BEHEWA 14 MPYA ZA SGR KWAAJILI YA ABIRIA

  Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea behewa 14 mpya za reli ya kisasa - SGR zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa nchini Soma zaidi

 • ​WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA MOROGORO – MAKUTUPORA
  24
  November
  2022

  ​WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA MOROGORO – MAKUTUPORA

  ​Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Morogoro – Makutupora katika jengo la stesheni kuu ya SGR jijini Dodoma, Novemba 24, 2022. Soma zaidi

 • ​WANANCHI WAENDELEA KUUNGA MKONO UJENZI WA MRADI WA SGR
  19
  November
  2022

  ​WANANCHI WAENDELEA KUUNGA MKONO UJENZI WA MRADI WA SGR

  Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kufanya zoezi la utwaaji ardhi kwa wananchi ili kupisha ujenzi wa njia ya umeme katika ujenzi mradi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi

 • WANANCHI WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME SGR MKOANI MOROGORO
  15
  November
  2022

  WANANCHI WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME SGR MKOANI MOROGORO

  ​Shirika la Reli Tanzania limelipa fidia kwa wananchi wa kijiji cha Lukobe Juu mkoani Morogoro katika kipande cha pili Morogoro - Makutupora, Novemba 2022. Soma zaidi

 • WAZIRI WA MIUNDOMBINU WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO ATEMBELEA MRADI WA SGR
  10
  November
  2022

  WAZIRI WA MIUNDOMBINU WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO ATEMBELEA MRADI WA SGR

  Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Tanzania Prof. Makame Mbarawa akiongozana na Waziri wa Miundombinu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - DRC Alexis Gusaro pamoja na viongozi wengine kutoka DRC Soma zaidi

 • ​​TRC IMESAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MASHINE NA MITAMBO YA MATENGENEZO YA NJIA YA SGR
  08
  November
  2022

  ​​TRC IMESAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MASHINE NA MITAMBO YA MATENGENEZO YA NJIA YA SGR

  Shirika la Reli Tanzania – TRC na Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini wamesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya reli ya kisasa – SGR Soma zaidi