Habari Mpya
-
15
March
2025KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATOA HEKO KWA TRC KUSIMAMIA VYEMA MIUNDOMBINU YA RELI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imelipongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC), kwa kusimamia vyema miundombinu ya reli ya SGR na MGR walipotembelea stesheni ya Tanga kwenye reli ya Kaskazini Machi 14, 2025 Soma zaidi
-
-
23
February
2025WANANCHI NCHINI BURUNDI WAKO TAYARI KWA SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC), limefanya ziara ya nchini Burundi na kukutana na wadau mbalimbali kufuatia kutiwa saini utekelezaji wa Mradi wa SGR awamu ya Soma zaidi
-
21
February
2025Prof. MBARAWA AKAGUA UJENZI WA SGR KIPANDE CHA MWANZA - ISAKA
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa Februari 20, 2025, ametembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa SGR, kipande cha Mwanza – Isaka katika eneo la Malampaka Mkoani simiyu. Soma zaidi
-
19
February
2025SGR KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA NA BURUNDI
Shirika la Reli Tanzania (TRC), linaendelea na ziara ya kukutana na wadau wa taasisi mbalimbali kutoka nchi za Tanzania na Burundi, kufuatia mradi wa ujenzi wa reli yenye kiwango cha kimataifa Soma zaidi
-
17
February
2025ZAIDI YA ASILIMIA 77 YA WANANCHI WALIPWA FIDIA KUPISHA MRADI WA SGR TABORA HADI MWANZA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limelipa fidia zaidi asilimia 77 ya wananchi ambao maeneo yao yalitwaliwa ili kupisha Ujenzi wa mradi wa SGR Kipande cha nne Tabora - Isaka na kipande cha tano Isaka - Mwanza hivi karibuni Februari, 2025 Soma zaidi