Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • ​TRC YAJENGA UELEWA KWA WANANCHI KUELEKEA UWASHAJI UMEME SGR.
  23
  April
  2022

  ​TRC YAJENGA UELEWA KWA WANANCHI KUELEKEA UWASHAJI UMEME SGR.

  ​Shirika la Reli Tanzania hivi karibuni limeendesha zoezi la utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusiana na maandalizi ya upitishaji na uwashaji umeme katika miundombinu ya reli ya kisasa-SGR ,Aprili 22, 2022. Soma zaidi

 • ​MHE. PROF. MBARAWA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA SGR MAKUTUPORA - TABORA
  13
  April
  2022

  ​MHE. PROF. MBARAWA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA SGR MAKUTUPORA - TABORA

  Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa aweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha tatu Makutupora - Tabora Aprili 12, 2022. Soma zaidi

 • ​WADAU WA USAFIRISHAJI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA MDARI WA SGR
  02
  April
  2022

  ​WADAU WA USAFIRISHAJI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA MDARI WA SGR

  Wadau wa usafirishaji nchi za Afrika kutoka katika taasisi ya Ushoroba wa Kati wametembelea mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Soma zaidi

 • ​KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA UJENZI WA SGR MWANZA – ISAKA, WAMPONGEZA RAIS SAMIA
  17
  March
  2022

  ​KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA UJENZI WA SGR MWANZA – ISAKA, WAMPONGEZA RAIS SAMIA

  Kamati ya bunge ya kudumu ya miundombinu imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha tano cha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Mwanza – Isaka, chenye jumla ya km 341, jijini mwanza. Machi 14, 2022. Soma zaidi

 • ​TRC YALIPA FIDIA KIJIJI CHA ISABILO WILAYANI KWIMBA - MWANZA
  13
  March
  2022

  ​TRC YALIPA FIDIA KIJIJI CHA ISABILO WILAYANI KWIMBA - MWANZA

  Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia katika kipande cha tanno cha reli ya kisasa - SGR katika kijiji cha Isabilo Kwimba mkoani Mwanza, Machi 2022. Soma zaidi

 • ​WAZIRI MBARAWA AIPONGEZA TRC KWA JITIHADA ZA HARAKA KUREJESHA NJIA KIDETE
  11
  March
  2022

  ​WAZIRI MBARAWA AIPONGEZA TRC KWA JITIHADA ZA HARAKA KUREJESHA NJIA KIDETE

  Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa, ametembelea eneo la reli lililosombwa na maji Soma zaidi

Tanzania Census 2022