Habari Mpya
-
15
December
2022MABEHEWA MAPYA YA METER GAUGE YAANZA SAFARI RASMI KUELEKEA KIGOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa ameruhusu treni ya abiria yenye mabehewa mapya 21 Soma zaidi
-
13
December
2022141 WAHITIMU CHUO CHA RELI, TRC YAANIKA MIPANGO UPANUZI WA CHUO
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania, TIRTEC kimefanya mahafali yake ya pili ambapo jumla ya wahitimu 141 wametunukiwa vyeti, astashahada ya awali na astashahada katika taaluma mbalimbali za sekta ya usafirishaji kwa njia ya reli, Disemba 10, 2022 mkoani Tabora. Soma zaidi
-
06
December
2022WAJUMBE HALMASHAURI KUU CCM WARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA SGR
Wenyeviti pamoja na wajumbe kutoka visiwani Zanzibar na Bara wa Halmashauri kuu ya Taifa Chama Cha Mapinduzi - CCM watembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
29
November
2022WAZIRI WA MIUNDOMBINU WA BURUNDI ATEMBELEA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea ugeni wa Waziri wa Miundombinu kutoka nchini Burundi Mhe. Dieudonne Dukundane kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam – Morogoro katika stesheni kuu ya SGR jijini Dar es Salaam hivi karibuni Novemba, 2022. Soma zaidi
-
26
November
2022WAFANYAKAZI 14 WA TRC KWENDA KOREA KUSINI KWA MAFUNZO YA SGR KWA VITENDO
Shirika la reli Tanzani - TRC kupeleka wafanyakazi kumi na wanne (14) nchini Korea Kusini kwaajili ya mafunzo kwa vitendo kuhusu uendeshaji wa reli ya kisasa – SGR, Novemba 2022. Soma zaidi
-
25
November
2022TRC YAPOKEA BEHEWA 14 MPYA ZA SGR KWAAJILI YA ABIRIA
Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea behewa 14 mpya za reli ya kisasa - SGR zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa nchini Soma zaidi