Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


  • WAFANYAKAZI WANAWAKE  WA TRC WASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
    09
    March
    2021

    WAFANYAKAZI WANAWAKE WA TRC WASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    Wafanyakazi Wanawake wa Shirika La Reli Tanzania washiriki siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa kimataifa kila mwaka Machi 08. Soma zaidi

  • ​WANANCHI JIJINI MWANZA WASHUKURU UJIO WA MRADI WA SGR
    02
    March
    2021

    ​WANANCHI JIJINI MWANZA WASHUKURU UJIO WA MRADI WA SGR

    ​Wananchi wa kijiji cha Nyamatala kata ya Ukiliguru wilaya ya Misungwi jijini Mwanza wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ujio wa Mradi wa Reli ya Kisasa – SGR jijini humo kufuatia hatua za awali za maandalizi kwa ajili ya mradi huo kuanza, hivi karibuni Machi 2021. Soma zaidi

  • ​MAENEO ZAIDI YA ISHIRINI NA NANE YANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
    02
    March
    2021

    ​MAENEO ZAIDI YA ISHIRINI NA NANE YANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

    Shirika la Reli Tanzania – TRC limewanufaisha wananchi wa maeneo zaidi ya ishirini na nane kwa kutoa elimu ya mafunzo ya ujasiriamali na kujikwamua kiuchumi kwa wananchi waliotwaliwa na ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam – Morogoro, Februari 2021, hivi karibuni. Soma zaidi

  • ​WANANCHI WAHAMASIKA, WAJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
    25
    February
    2021

    ​WANANCHI WAHAMASIKA, WAJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

    ​Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kuwapa hamasa wananchi waliotwaliwa ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam- Morogoro Soma zaidi

  • ​TRC YATOA MAFUNZO KWA WANANCHI JUU YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
    19
    February
    2021

    ​TRC YATOA MAFUNZO KWA WANANCHI JUU YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    ​Shirika la Reli Tanzania - TRC limetoa mafunzo kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa na mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam - Morogoro Soma zaidi

  • SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC LIMEKABIDHI BEHEWA 40 KWA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI - WFP
    18
    February
    2021

    SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC LIMEKABIDHI BEHEWA 40 KWA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI - WFP

    TRC limekabidhi behewa 40 za mizigo kwa Shirika la mpango wa chakula duniani - WFP katika hafla fupi iliyofanyika katika kituo cha mizigo Ilala jijini Dar es Salaam Februari 17, 2021. Soma zaidi