Habari Mpya
-
23
July
2021TRENI ILIYOBEBA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA YAANZA SAFARI KUELEKEA KIGOMA
Treni ya Deluxe iliyobeba Wasanii na Mashabiki wa mpira wa miguu imeanza safari katika Stesheni ya Kamata jijini Dar es Salaam kuelekea Kigoma kwenye mechi kati ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa Julai 25, 2021. Soma zaidi
-
19
July
2021TRC, CLOUDS MEDIA GROUP KUSAFIRISHA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KUELEKEA MKOANI KIGOMA
Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa kushirikiana na kampuni ya Clouds Media Group wameandaa treni maalumu itakayobeba mashabiki wa mpira wa miguu kuelekea mkoani Kigoma Soma zaidi
-
11
July
2021WANANCHI MWANZA WAIPOKEA KAMPENI YA UELEWA KUHUSU MRADI WA UJENZI WA SGR MWANZA - ISAKA
Shirika la Reli Tanzania – TRC linaendelea na kampeni maalum ya utoaji wa elimu juu ya ujenzi wa Reli ya kisasa SGR, Soma zaidi
-
07
July
2021MARAIS WASTAAFU WAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA RELI YA KISASA
Marais Watsaafu pamoja na Mawaziri Wakuu Wastaafu wafanya ziara ya siku moja kukagua Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kuanzia Kilosa mkoani Morogoro hadi jijini Dar es Salaam, Julai 06, 2021. Soma zaidi
-
01
July
2021KAMPENI YA UELEWA KWA JAMII KUHUSU MRADI WA UJENZI WA SGR, MWANZA – ISAKA YAPIGA HODI KWIMBA MKOANI MWANZA
Shirika la Reli Tanzania – TRC linaendelea na kampeni maalum ya kutoa elimu ya uelewa kuhusu Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR, kipande cha tano, Mwanza – Isaka (Km 341), kwa jamii zinazoishi maeneo ya kanda ya ziwa. Soma zaidi
-
28
June
2021TRC YASHIRIKI KONGAMANO LA SIKU 100 ZA MHE. RAIS SAMIA
Shirika la Reli Tanzania – TRC laadhimisha siku 100 za Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Soma zaidi