Habari Mpya
-
10
August
2020CHAMA CHA SAIDIA WAZEE TANZANIA (SAWATA) WATEMBELEA MRADI WA SGR.
Chama cha saidia Wazee Tanzania watembelea mradi wa wa ujenzi wa reli ya kisasa -SGR kwa kipande cha kwanza Dar mpaka Ruvu mkoa wa pwani hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi
-
08
August
2020MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AZINDUA RASMI KAMPENI YA UELEWA KUEPUSHA AJALI KATIKA RELI MKOANI KILIMANJARO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mgwhira amefungua rasmi kampeni ya uelewa kwa wananchi ili kuepusha ajali katika miundombinu ya reli mkoani Kilimanjaro hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi
-
07
August
2020WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa afurahishwa na maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Ruvu Agosti 7, 2020. Soma zaidi
-
05
August
2020WAZIRI NDITIYE: SAFARI ZA TRENI ARUSHA – MOSHI KUANZA HIVI KARIBUNI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amefanya ziara kukagua kazi ya ufufuaji wa reli kati ya Moshi hadi jijini Arusha kwa kutumia treni ya uhandisi ya Shirika la Reli Tanzania – TRC hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi
-
04
August
2020TRC YAANZA KUTOA ELIMU YA UELEWA KUHUSU ULINZI NA USALAMA WA RELI JIJINI ARUSHA
Shirika la Reli Tanzania – TRC limeanza kampeni ya uelewa itakayofanyika kwa siku saba ikiwa ni muendelezo wa mpango wa kuelimisha umma kuhusu ulinzi na usalama wa miundombinu ya reli kwa wananchi katika mikoa ya Arusha, Moshi na Tanga, kampeni hiyo imeanza rasmi Agosti 3, 2020. Soma zaidi
-
03
August
2020ZOEZI LA ULIPAJI WA FIDIA KUPISHA UJEZI WA SGR MOROGORO – MAKUTUPORA LAZIDI KUPAMBA MOTO JIJINI DODOMA
Shirika la reli Tanzania linaendelea na zoezi la ulipaji wa fidia kwa wakazi wa jiji la Dodoma ambao maeneo yao yalitwaliwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kipande cha pili kutoka Morogoro,Dodoma hadi Makutupora hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi