Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • ​WANANCHI WAMSHUKURU MH. RAIS JPM KWA KULIPWA FIDIA KWA WAKATI WALIOPITIWA NA UJENZI WA SGR
  21
  May
  2020

  ​WANANCHI WAMSHUKURU MH. RAIS JPM KWA KULIPWA FIDIA KWA WAKATI WALIOPITIWA NA UJENZI WA SGR

  Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la ulipaji Fidia kwa wananchi waliopitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Dodoma Hivi karibuni Mei ,2020. Soma zaidi

 • ULIPAJI FIDIA WAENDELEA - ZAIDI YA MILIONI 28 ZALIPWA WANANCHI WAFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS JPM
  18
  May
  2020

  ULIPAJI FIDIA WAENDELEA - ZAIDI YA MILIONI 28 ZALIPWA WANANCHI WAFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS JPM

  Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yamepitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Singida Mei 16, 2020. Soma zaidi

 • WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR
  14
  May
  2020

  WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR

  Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR alipotembelea awamu ya kwanza ya ujenzi kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa- Morogoro 14 Mei, 2020. Soma zaidi

 • WANANCHI ZAIDI YA ELFU MOJA NA MIA TATU WAMEPOKEA HUNDI KATIKA ZOEZI LA FIDIA IHUMWA - DODOMA
  09
  May
  2020

  WANANCHI ZAIDI YA ELFU MOJA NA MIA TATU WAMEPOKEA HUNDI KATIKA ZOEZI LA FIDIA IHUMWA - DODOMA

  Wananchi zaidi ya 1,300 wamepokea hundi katika zoezi la malipo ya fidia Ihumwa jijini Dodoma , ikiwa ni zoezi endelevu linalofanyika katika mtaa wa Ihumwa ili kuhakikisha wananchi wote waliopitiwa na mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha Morogoro - Makutupora Soma zaidi

 • WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
  08
  May
  2020

  WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR

  Wananchi jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupata fidia Soma zaidi

 • ​TRENI YA KWANZA YA MIZIGO YAWASILI KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.
  04
  May
  2020

  ​TRENI YA KWANZA YA MIZIGO YAWASILI KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.

  Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua rasmi bandari kavu ya Kwala ambapo Treni ya Kwanza iliyobeba Behewa za mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam imewasili katika Bandari hiyo iliyopo Kibaha mkoani Pwani hivi karibuni Mei, 2020. Soma zaidi