Habari Mpya
-
17
February
2021SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAIBUKA KIDEDEA KWA KUPATA TUZO YA KURASA BORA YA SERIKALI MTANDAONI
Shirika la Reli Tanzania laibuka kidedea kwa kupata tuzo ya kurasa bora ya serikali mtandaoni iliyopokelewa kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na uongozi waShirika la Reli Tanzania - TRC katika ukumbi wa Akemi Februari 16, 2021. Soma zaidi
-
07
February
2021SERIKALI YAZIDI KUTOA HAMASA YA KULETA MAENDELEO YA NCHI KWA WANANCHI MKOANI MOROGORO
Serikali inazidi kutoa hamasa ya kuleta maendeleo ya nchi kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro baada ya kuendeleza zoezi la ulipaji wa fidia katika maeneo mbalimbali yaliyobaki Soma zaidi
-
30
January
2021TRC NA TPSF WAFANYA KONGAMANO LA KWANZA LA WADAU KUJADILI FURSA KATIKA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa kushrikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini – TPSF wamefanya kongamano la kwanza la wadau wa sekta binafsi kujadili fursa katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Mwanza – Isaka katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza Januari 30, 2021. Soma zaidi
-
14
December
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA KUTOA FURSA KWA WATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI MTANDAONI
Shirika la Ŕeli Tanzania - TRC limetoa fursa kwa wateja wa kampuni ya mtandao wa simu AIRTEL kwa kuwarahisishia huduma za ukataji tiketi kwa njia ya mtandao katika kipindi cha msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kwa wateja Soma zaidi
-
13
December
2020WAKUU WA MIKOA, KAGERA NA MTWARA WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti wakiambatana na baadhi ya vijana kutoka mikoa hiyo wametembelea jengo la Stesheni ya Reli ya Kisasa lililopo jijini Dar es Salaam, Disemba 13, 2020. Soma zaidi
-
05
December
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA -TRC LACHANGIA UKARABATI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI
Shirika la Reli Tanzania – TRC limetoa mchango wa ukarabati wa barabara Morogoro Vijijini katika tarafa ya Ngerengere hivi karibuni Disemba, 2020 ikiwa ni sehemu ya kuleta maendeleo katika jamii zilizopo jirani na mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR. Soma zaidi