Habari Mpya
-
14
March
2021KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAMILISHA ZIARA YAKE KUKAGUA MRADI WA SGR NA KARAKANA
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu yakamilisha ziara ya siku mbili kukagua Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Dar es Salaam - Makutupora Soma zaidi
-
13
March
2021TRC YAENDELEA KUTOA FURSA YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANANCHI WA MPWAPWA MKOANI DODOMA
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kutoa fursa ya mafunzo ya ujasiriamali kwa wananchi waliotwaliwa na ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
09
March
2021WAFANYAKAZI WANAWAKE WA TRC WASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wafanyakazi Wanawake wa Shirika La Reli Tanzania washiriki siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa kimataifa kila mwaka Machi 08. Soma zaidi
-
02
March
2021WANANCHI JIJINI MWANZA WASHUKURU UJIO WA MRADI WA SGR
Wananchi wa kijiji cha Nyamatala kata ya Ukiliguru wilaya ya Misungwi jijini Mwanza wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ujio wa Mradi wa Reli ya Kisasa – SGR jijini humo kufuatia hatua za awali za maandalizi kwa ajili ya mradi huo kuanza, hivi karibuni Machi 2021. Soma zaidi
-
02
March
2021MAENEO ZAIDI YA ISHIRINI NA NANE YANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
Shirika la Reli Tanzania – TRC limewanufaisha wananchi wa maeneo zaidi ya ishirini na nane kwa kutoa elimu ya mafunzo ya ujasiriamali na kujikwamua kiuchumi kwa wananchi waliotwaliwa na ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam – Morogoro, Februari 2021, hivi karibuni. Soma zaidi
-
25
February
2021WANANCHI WAHAMASIKA, WAJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kuwapa hamasa wananchi waliotwaliwa ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam- Morogoro Soma zaidi