Habari Mpya
-
21
December
2021KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA DAR – MORO
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein Kattanga atembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro ikiwa ni ziara ya kikazi kuona maendeleo ya mradi wa SGR, Disemba 20, 2021. Soma zaidi
-
18
December
2021CHUO CHA TEKNOLOJIA YA RELI NCHINI CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania – TIRTEC chafanya mahafali ya kwanza kwa wahitimu wa ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa wahitimu wa taaluma mbalimbali, mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya chuo cha reli mkoani Tabora, Disemba 18, 2021. Soma zaidi
-
08
December
2021WAKAZI 500 KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI WA SGR- KILOSA
Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya umeme ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha pili Morogoro- Makutupora Soma zaidi
-
01
December
2021WANANCHI WAJIVUNIA MRADI WA SGR MWANZA - ISAKA
Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha tano Mwanza - Isaka ambapo wananchi wameonesha kujivunia uwepo wa mradi wa SGR Soma zaidi
-
01
December
2021WAKAZI TAKRIBANI 700 KULIPWA FIDIA WILAYANI KILOSA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendesha zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi takribani mia saba (700) katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambao ardhi zao zilitwaliwa kupisha ujenzi wa reli ya kisasa -SGR Novemba 2021. Soma zaidi
-
28
November
2021RAIS MUSEVENI ATEMBELEA JENGO LA STESHENI YA SGR LA TANZANITE JIJINI DAR ES SLAAM
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amefanya ziara kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR katika Stesheni ya SGR jijini, Novemba 28, 2021. Soma zaidi

