Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • MKURUGENZI MKUU TRC ASHIRIKI MAHAFALI YA 27 YA SHULE YA MSINGI ITIGI RELI
  25
  September
  2020

  MKURUGENZI MKUU TRC ASHIRIKI MAHAFALI YA 27 YA SHULE YA MSINGI ITIGI RELI

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika a Reli Tanzania Ndugu Masanja Kungu Kadogosa ashiriki katika sherehe ya mahafali ya 27 ya Shule ya Msingi ya Itigi Reli mkoani Singida hivi karibuni Septemba 2020. Soma zaidi

 • ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA KUPISHA UJENZI WA RELI YA KISASA SGR MORGORO – MAKUTUPORA LAZIDI KUPAMBA MOTO JIJINI DODOMA
  14
  September
  2020

  ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA KUPISHA UJENZI WA RELI YA KISASA SGR MORGORO – MAKUTUPORA LAZIDI KUPAMBA MOTO JIJINI DODOMA

  Shirika la Reli Tanzania TRC linaendelea na zoezi la ulipaji wa fidia jijini Dodoma kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kipande cha Morogoro Makutupora,hivi karibuni septemba 2020. Soma zaidi

 • WANANCHI NA WAZEE WA MAGINDU WILAYA YA KIBAHA MKOANI PWANI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KULIPA FIDIA ZAO
  07
  September
  2020

  WANANCHI NA WAZEE WA MAGINDU WILAYA YA KIBAHA MKOANI PWANI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KULIPA FIDIA ZAO

  ​Wananchi wa Magindu Wilaya ya Kibaha mkoani pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kulipa Fidia zao hivi karibuni Septemba 2020. Soma zaidi

 • WANANCHI MKOANI MOROGORO WASISITIZWA KUTUMIA FEDHA ZA FIDIA KWA KIUSAHIHI
  04
  September
  2020

  WANANCHI MKOANI MOROGORO WASISITIZWA KUTUMIA FEDHA ZA FIDIA KWA KIUSAHIHI

  Wananchi wa Kata za Pangawe, Yespa, Mtego wa Simba, Kihonda Kaskazini, Lukobe na Kingolwira mkoani Morogoro walipwa fidia zao ili kupisha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani humo, hivi karibuni Septemba,2020 Soma zaidi

 • ​WANANCHI KATA YA NGETA, RUVU MINAZI MIKINDA WAISHUKURU TRC KWA ULIPAJI WA FIDIA
  01
  September
  2020

  ​WANANCHI KATA YA NGETA, RUVU MINAZI MIKINDA WAISHUKURU TRC KWA ULIPAJI WA FIDIA

  Wananchi wa kata ya Ngeta na Ruvu Minazi Mikinda waishukuru Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa kulipwa fidia za makazi na ardhi mkoani Pwani Agosti 31, 2020. Soma zaidi

 • SERIKALI YAWAPA HAMASA WANAKIJIJI KINONKO KUFANYA MAENDELEO
  30
  August
  2020

  SERIKALI YAWAPA HAMASA WANAKIJIJI KINONKO KUFANYA MAENDELEO

  Serikali imetoa hamasa kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Kinonko katika kujikita kufanya maendeleo baada ya zoezi la ulipaji wa fidia linalofanywa na Shirika la Reli Tanzania ili kupisha ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro, Agosti 2020 hivi karibuni. Soma zaidi