Habari Mpya
-
08
December
2021WAKAZI 500 KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI WA SGR- KILOSA
Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya umeme ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha pili Morogoro- Makutupora Soma zaidi
-
01
December
2021WANANCHI WAJIVUNIA MRADI WA SGR MWANZA - ISAKA
Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha tano Mwanza - Isaka ambapo wananchi wameonesha kujivunia uwepo wa mradi wa SGR Soma zaidi
-
01
December
2021WAKAZI TAKRIBANI 700 KULIPWA FIDIA WILAYANI KILOSA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendesha zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi takribani mia saba (700) katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambao ardhi zao zilitwaliwa kupisha ujenzi wa reli ya kisasa -SGR Novemba 2021. Soma zaidi
-
28
November
2021RAIS MUSEVENI ATEMBELEA JENGO LA STESHENI YA SGR LA TANZANITE JIJINI DAR ES SLAAM
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amefanya ziara kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR katika Stesheni ya SGR jijini, Novemba 28, 2021. Soma zaidi
-
22
November
2021HUNDI 799 KULIPWA KWA WANANCHI KUPISHA UJENZI WA SGR MWANZA- ISAKA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeanza zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ili kuanza ujenzi wa njia kuu ya reli ya kisasa kipande cha tano Mwanza - Isaka lililofanyika katika maeneo ya Nyashimba , Sekebugolo na Muhida mkoa wa Shinyanga na Simiyu hivi karibuni Novemba , 2021 Soma zaidi
-
21
November
2021WANANCHI BAHI MKOANI DODOMA WALIPWA FIDIA KUPISHA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo yao kupisha ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa katika Kijiji cha Bahi Sokoni na Bahi Makulu Soma zaidi