Habari Mpya
-
01
July
2021KAMPENI YA UELEWA KWA JAMII KUHUSU MRADI WA UJENZI WA SGR, MWANZA – ISAKA YAPIGA HODI KWIMBA MKOANI MWANZA
Shirika la Reli Tanzania – TRC linaendelea na kampeni maalum ya kutoa elimu ya uelewa kuhusu Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR, kipande cha tano, Mwanza – Isaka (Km 341), kwa jamii zinazoishi maeneo ya kanda ya ziwa. Soma zaidi
-
28
June
2021TRC YASHIRIKI KONGAMANO LA SIKU 100 ZA MHE. RAIS SAMIA
Shirika la Reli Tanzania – TRC laadhimisha siku 100 za Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Soma zaidi
-
26
June
2021VIONGOZI MBALIMBALI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WASIFU MRADI WA SGR
Viongozi mbalimbali kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki waisifu nchi ya Tanzania pamoja na Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa utekelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR walipotembelea mradi kuanzia stesheni ya Dar es Salaam hadi Pugu, Juni 25, 2021. Soma zaidi
-
22
May
2021TRC INAENDELEA NA MALIPO YA KIFUTA MACHOZI KATIKA WILAYA YA KILOSA MKOANI MOROGORO
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la ulipaji wa kifuta machozi kwa wananchi ambao makaburi ya ndugu zao yalihamishwa kwa lengo la kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR Soma zaidi
-
18
May
2021TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA FIDIA MKOANI MWANZA NA SHINYANGA KUPISHA UJENZI WA KAMBI ZA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC laendelea na zoezi la ulipaji fidia ili kupisha ujenzi wa kambi za Mradi wa reli ya Kisasa – SGR katika maeneo ya Fela, Bukwimba, Malampaka mkoani Mwanza na Didia mkoani Shinyanga Mei 17, 2021. Soma zaidi
-
10
May
2021TRC YAENDELEA NA UTATUAJI WA CHANGAMOTO KWA JAMII INAYOISHI KARIBU NA ENEO LA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC kupitia Wataalam wake kutoka vitengo mbalimbali kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa mpaka ngazi ya Vijiji wameendesha zoezi la kufanya tathimini za athari na changamoto zilizojitokeza kwa wananchi walio katika maeneo ambayo ujenzi wa reli ya kisasa –SGR unaendelea, Soma zaidi