Habari Mpya
-
01
December
2021WAKAZI TAKRIBANI 700 KULIPWA FIDIA WILAYANI KILOSA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendesha zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi takribani mia saba (700) katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambao ardhi zao zilitwaliwa kupisha ujenzi wa reli ya kisasa -SGR Novemba 2021. Soma zaidi
-
28
November
2021RAIS MUSEVENI ATEMBELEA JENGO LA STESHENI YA SGR LA TANZANITE JIJINI DAR ES SLAAM
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amefanya ziara kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR katika Stesheni ya SGR jijini, Novemba 28, 2021. Soma zaidi
-
22
November
2021HUNDI 799 KULIPWA KWA WANANCHI KUPISHA UJENZI WA SGR MWANZA- ISAKA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeanza zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ili kuanza ujenzi wa njia kuu ya reli ya kisasa kipande cha tano Mwanza - Isaka lililofanyika katika maeneo ya Nyashimba , Sekebugolo na Muhida mkoa wa Shinyanga na Simiyu hivi karibuni Novemba , 2021 Soma zaidi
-
21
November
2021WANANCHI BAHI MKOANI DODOMA WALIPWA FIDIA KUPISHA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo yao kupisha ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa katika Kijiji cha Bahi Sokoni na Bahi Makulu Soma zaidi
-
17
November
2021TRC YAPOKEA VICHWA VIPYA VITATU VYA TRENI ZA RELI YA MGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea vichwa vitatu vya treni za reli ya MGR, vichwa hivyo vimenunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati - TIRP, hafla fupi ya upokeaji imefanyika katika bandari ya Dar es Salaam Novemba 17, 2021. Soma zaidi
-
31
October
2021BODI YA SHIVYAWATA YARIDHISHWA SGR ILIVYOZINGATIA MAHITAJI YA WATU WENYE ULEMAVU
Bodi ya Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) imetembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam - Morogoro Soma zaidi