Habari Mpya
-
24
December
2021ZAIDI YA ABIRIA 1,500 WATUMIA USAFIRI WA TRENI KUTOKA DAR- ARUSHA
Shirika la Reli Tanzania linaendelea na huduma za usafiri wa treni katika mikoa ya Kaskazini kutoka Dar es Salaam, Moshi hadi Arusha ambapo zaidi ya abiria 1,500 wameondoka na treni ya Deluxe yenye behewa 20 jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha, Disemba 24, 2021. Soma zaidi
-
23
December
2021MHE. KASEKENYA; WAZAWA ZAIDI YA 1000 KUPEWA KIPAUMBELE CHA AJIRA MRADI WA SGR
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Mhandisi Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza kutoka Morogoro hadi Dar es Salaam Disemba 22, 2021. Soma zaidi
-
21
December
2021KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA DAR – MORO
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein Kattanga atembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro ikiwa ni ziara ya kikazi kuona maendeleo ya mradi wa SGR, Disemba 20, 2021. Soma zaidi
-
18
December
2021CHUO CHA TEKNOLOJIA YA RELI NCHINI CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania – TIRTEC chafanya mahafali ya kwanza kwa wahitimu wa ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa wahitimu wa taaluma mbalimbali, mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya chuo cha reli mkoani Tabora, Disemba 18, 2021. Soma zaidi
-
08
December
2021WAKAZI 500 KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI WA SGR- KILOSA
Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya umeme ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha pili Morogoro- Makutupora Soma zaidi
-
01
December
2021WANANCHI WAJIVUNIA MRADI WA SGR MWANZA - ISAKA
Shirika la Reli Tanzania- TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha tano Mwanza - Isaka ambapo wananchi wameonesha kujivunia uwepo wa mradi wa SGR Soma zaidi