Habari Mpya
-
17
March
2022KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA UJENZI WA SGR MWANZA – ISAKA, WAMPONGEZA RAIS SAMIA
Kamati ya bunge ya kudumu ya miundombinu imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha tano cha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Mwanza – Isaka, chenye jumla ya km 341, jijini mwanza. Machi 14, 2022. Soma zaidi
-
13
March
2022TRC YALIPA FIDIA KIJIJI CHA ISABILO WILAYANI KWIMBA - MWANZA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia katika kipande cha tanno cha reli ya kisasa - SGR katika kijiji cha Isabilo Kwimba mkoani Mwanza, Machi 2022. Soma zaidi
-
11
March
2022WAZIRI MBARAWA AIPONGEZA TRC KWA JITIHADA ZA HARAKA KUREJESHA NJIA KIDETE
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa, ametembelea eneo la reli lililosombwa na maji Soma zaidi
-
08
March
2022WANAWAKE TRC WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndugu Masanja Kadogosa amejumuika pamoja na wanawake wa TRC kusherehekea siku ya wanawake Duniani katika jengo la Stesheni ya reli ya kisasa – SGR jijini Dar es Salaam, March 8 2022. Soma zaidi
-
07
March
2022KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAIPONGEZA WIZARA YA UCHUKUZI NA TRC
Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Daniel Sillo imefanya ziara kukagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro kuanzia stesheni ya Dar es Salaam hadi Soga mkoani Pwani Machi 7, 2022. Soma zaidi
-
04
March
2022PROF. MBARAWA AIPONGEZA TRC KWA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA SGR
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa amelipongeza Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa usimamizi mzuri wa mradi wa reli ya kisasa – SGR alipofanya ziara katika mradi wa SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro kuanzia Dar es Salaam hadi Kwala mkoani Pwani Machi 3, 2022. Soma zaidi