Habari Mpya
-
25
April
2022KAMPENI YA UELEWA KWA JAMII KUHUSU UJENZI WA SGR YAZIDI KUSHIKA KASI MAKUTUPORA – TABORA
Shirika la Reli Tanzania TRC, limeanza kampeni maalumu ya uelewa kwa jamii kuhusu mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
23
April
2022TRC YAJENGA UELEWA KWA WANANCHI KUELEKEA UWASHAJI UMEME SGR.
Shirika la Reli Tanzania hivi karibuni limeendesha zoezi la utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusiana na maandalizi ya upitishaji na uwashaji umeme katika miundombinu ya reli ya kisasa-SGR ,Aprili 22, 2022. Soma zaidi
-
13
April
2022MHE. PROF. MBARAWA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA SGR MAKUTUPORA - TABORA
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa aweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha tatu Makutupora - Tabora Aprili 12, 2022. Soma zaidi
-
02
April
2022WADAU WA USAFIRISHAJI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA MDARI WA SGR
Wadau wa usafirishaji nchi za Afrika kutoka katika taasisi ya Ushoroba wa Kati wametembelea mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Soma zaidi
-
17
March
2022KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA UJENZI WA SGR MWANZA – ISAKA, WAMPONGEZA RAIS SAMIA
Kamati ya bunge ya kudumu ya miundombinu imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipande cha tano cha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Mwanza – Isaka, chenye jumla ya km 341, jijini mwanza. Machi 14, 2022. Soma zaidi
-
13
March
2022TRC YALIPA FIDIA KIJIJI CHA ISABILO WILAYANI KWIMBA - MWANZA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia katika kipande cha tanno cha reli ya kisasa - SGR katika kijiji cha Isabilo Kwimba mkoani Mwanza, Machi 2022. Soma zaidi