Habari Mpya
-
27
April
2023BODI YA WAKURUGENZI KUTOKA LATRA WATEMBELEA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea ugeni wa bodi ya wakurugenzi kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini - LATRA Soma zaidi
-
25
April
2023BODI YA BOT YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA SGR
Bodi ya Wakurugenzi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakiongozwa na Gavana wa Benki hiyo Bwana Emmanuel Tutuba Soma zaidi
-
-
11
April
2023WADAU SEKTA BINAFSI WAKUTANA NA WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameshiriki katika ufunguzi wa kongamano kati ya Sekta ya Uchukuzi na wadau wa sekta Binafsi Soma zaidi
-
06
April
2023MAENEO YAENDELEA KUTWALIWA MKOA WA PWANI KUPISHA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC linaendelea la zoezi la ulipaji wa fidia kwa wananchi waliotwaliwa ardhi zao kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa – SGR Soma zaidi
-
06
April
2023TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA KUWEZESHA UJENZI WA SGR MKOANI DODOMA
Shirika la Reli - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia mkoani dodoma kwa wananchi waliotwaliwa ardhi zao katika wilaya ya Bahi, Dodoma jiji, Chamwino na Mpwapwa katika kipande cha pili Morogoro - Makutupora cha ujenzi wa reli ya kisasa, April 2023. Soma zaidi

