Habari Mpya
-
06
April
2023TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA KUWEZESHA UJENZI WA SGR MKOANI DODOMA
Shirika la Reli - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia mkoani dodoma kwa wananchi waliotwaliwa ardhi zao katika wilaya ya Bahi, Dodoma jiji, Chamwino na Mpwapwa katika kipande cha pili Morogoro - Makutupora cha ujenzi wa reli ya kisasa, April 2023. Soma zaidi
-
02
April
2023KIKAO KAZI CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI TRC
Shirika la Reli Tanzania - TRC limefanya kikao cha baraza la wafanyakazi TRC jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Bandari tarehe 30 na 31 mwezi Machi 2023. Soma zaidi
-
28
March
2023KAMATI YA BUNGE PIC YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUENDELEZA MRADI WA SGR
Kamati ya bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati Mhe. Jerry Silaa yafanya ziara katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Mwanza – Isaka, Machi 28, 2023. Soma zaidi
-
27
March
2023WAZIRI MKUU ASHUHUDIA RELI ILIYOTANDIKWA, MRADI WA SGR MWANZA – ISAKA WAFIKA 28%
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameshuhudia reli iliyoanza kutandikwa katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Mwanza – Isaka akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Simiyu Machi 26, 2023. Soma zaidi
-
26
March
2023KAMPENI YA UELEWA KUHUSU MRADI WA SGR KIPANDE CHA NNE TABORA –ISAKA YAANZA
Shirika la Reli Tanzania limeanza utoaji wa elimu kwa wananchi wa mkoa wa Tabora kuhusu mradi wa SGR kipande cha nne Tabora – Isaka chenye jumla ya kilomita 165, Machi 2023. Soma zaidi
-
23
March
2023KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA THAMANI YA FEDHA KATIKA MRADI WA SGR
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikiongozwa na Makamu mwenyekiti wa kamati Mhe. Japheth Hasunga imefanya ziara katika mradi wa SGR Soma zaidi