Habari Mpya
-
29
December
2022WANANCHI WA DODOMA WASISITIZWA KULINDA MIUNDOMBINU YA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC likiendelea na kampeni ya uelewa kwa jamii kuhusu usalama na ulinzi wa miundombinu ya reli ya kisasa – SGR limekutana na jamii ya wafugaji na wakulima Dodoma vijijini Soma zaidi
-
24
December
2022MRADI WA SGR KIPANDE CHA TANO ISAKA – MWANZA, TRC YAENDELEA KUTWAA ARDHI
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha tano Isaka - Mwanza Soma zaidi
-
22
December
2022RAIS DKT. SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA SGR TABORA - KIGOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR awamu ya pili, kipande cha kwanza Tabora - Kigoma Ikulu jijini Dar es Salaam, Disemba 20, 2022. Soma zaidi
-
15
December
2022MABEHEWA MAPYA YA METER GAUGE YAANZA SAFARI RASMI KUELEKEA KIGOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa ameruhusu treni ya abiria yenye mabehewa mapya 21 Soma zaidi
-
13
December
2022141 WAHITIMU CHUO CHA RELI, TRC YAANIKA MIPANGO UPANUZI WA CHUO
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania, TIRTEC kimefanya mahafali yake ya pili ambapo jumla ya wahitimu 141 wametunukiwa vyeti, astashahada ya awali na astashahada katika taaluma mbalimbali za sekta ya usafirishaji kwa njia ya reli, Disemba 10, 2022 mkoani Tabora. Soma zaidi
-
06
December
2022WAJUMBE HALMASHAURI KUU CCM WARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA SGR
Wenyeviti pamoja na wajumbe kutoka visiwani Zanzibar na Bara wa Halmashauri kuu ya Taifa Chama Cha Mapinduzi - CCM watembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi