Habari Mpya
-
-
20
March
2023TRC YAHUDHURIA KONGAMANO LA UWT LA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limejumuika katika kusherekea miaka miwili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Soma zaidi
-
20
March
2023UTWAAJI WA ARDHI KIPANDE CHA TATU MBIONI KUKAMILIKA
Zoezi la uhamishaji makaburi kwaajili ya kutwaa ardhi ambayo inahitajika katika matumizi ya ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Soma zaidi
-
18
March
2023KAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA YATEMBELEA KARAKANA NA CHUO CHA RELI TABORA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jerry Silaa imefanya ziara katika karakana ya vichwa vya treni na mabehewa na Chuo cha Reli Tabora (TIRTEC), Machi 17, 2023. Soma zaidi
-
16
March
2023KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YARIDHISHWA NA MAENDELEA YA MRADI WA SGR, WIZARA, TRC WAPONGEZWA
Kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu yaridhishwa na maendeleao ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR baada ya kukamilisha ziara kukagua mradi kutoka Dodoma hadi Dar es Salaam Soma zaidi
-
14
March
2023KAMATI YA BUNGE YAITAKA TRC KUWASIMAMIA WAKANDARASI WAWEZE KUMALIZA MIRADI KWA WAKATI
Kamati ya Bunge ya Miundombinu yalitaka Shirika la Reli Tanzania - TRC kuhakikisha wakandarasi wanakamilisha miradi kulingana na muda uliopangwa kimkataba, Soma zaidi