Habari Mpya
-
26
March
2023KAMPENI YA UELEWA KUHUSU MRADI WA SGR KIPANDE CHA NNE TABORA –ISAKA YAANZA
Shirika la Reli Tanzania limeanza utoaji wa elimu kwa wananchi wa mkoa wa Tabora kuhusu mradi wa SGR kipande cha nne Tabora – Isaka chenye jumla ya kilomita 165, Machi 2023. Soma zaidi
-
23
March
2023KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA THAMANI YA FEDHA KATIKA MRADI WA SGR
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikiongozwa na Makamu mwenyekiti wa kamati Mhe. Japheth Hasunga imefanya ziara katika mradi wa SGR Soma zaidi
-
-
20
March
2023TRC YAHUDHURIA KONGAMANO LA UWT LA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limejumuika katika kusherekea miaka miwili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Soma zaidi
-
20
March
2023UTWAAJI WA ARDHI KIPANDE CHA TATU MBIONI KUKAMILIKA
Zoezi la uhamishaji makaburi kwaajili ya kutwaa ardhi ambayo inahitajika katika matumizi ya ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Soma zaidi
-
18
March
2023KAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA YATEMBELEA KARAKANA NA CHUO CHA RELI TABORA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jerry Silaa imefanya ziara katika karakana ya vichwa vya treni na mabehewa na Chuo cha Reli Tabora (TIRTEC), Machi 17, 2023. Soma zaidi