Habari Mpya
-
15
November
2022WANANCHI WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME SGR MKOANI MOROGORO
Shirika la Reli Tanzania limelipa fidia kwa wananchi wa kijiji cha Lukobe Juu mkoani Morogoro katika kipande cha pili Morogoro - Makutupora, Novemba 2022. Soma zaidi
-
10
November
2022WAZIRI WA MIUNDOMBINU WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO ATEMBELEA MRADI WA SGR
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Tanzania Prof. Makame Mbarawa akiongozana na Waziri wa Miundombinu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - DRC Alexis Gusaro pamoja na viongozi wengine kutoka DRC Soma zaidi
-
08
November
2022TRC IMESAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MASHINE NA MITAMBO YA MATENGENEZO YA NJIA YA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC na Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini wamesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya reli ya kisasa – SGR Soma zaidi
-
03
November
2022WANANCHI WAENDELEA KUTOA MAENEO KUPISHA NJIA YA UMEME MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi ili kupisha njia ya umeme ya ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa - SGR Soma zaidi
-
28
October
2022TRC YAENDELEA KUTWAA ARDHI KWA WANANCHI KUPISHA NJIA YA UMEME MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania linaendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi kuhusu utwaaji ardhi ili kupisha ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa Soma zaidi
-
27
October
2022TRC YAPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KONGAMANO LA MASHIRIKA YA RELI UKANDA WA SADC
Shirika la Reli Tanzania- TRC limeshiriki kongamano na maonesho ya 11 ya Mashirika ya Reli katika Ukanda wa SADC Soma zaidi