Habari Mpya
-
27
August
2023MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amekutana na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salaam Soma zaidi
-
24
August
2023WANANCHI 287 WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RELI YA SGR TABORA - KIGOMA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao ardhi zao zimetwaaliwa kwaajili ya kupisha ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR Soma zaidi
-
14
August
2023ZAIDI YA BILIONI MOJA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI MKOANI SHINYANGA
Shirika la Reli Tanzania linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo yao kupisha mradi wa ujenzi wa reli yenye kiwango cha kimataifa – SGR Soma zaidi
-
14
August
2023TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA MKOANI MOROGORO
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la kulipa fidia kwa wananchi waliopisha maeneo Soma zaidi
-
05
August
2023WANANCHI WAENDELEA KUPOKEA STAHIKI ZAO KUPISHA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi