Habari Mpya
-
31
May
2020KADOGOSA: TUTAREJESHA SAFARI ZA TRENI KATI YA TANGA, KILIMANJARO NA ARUSHA NDANI YA MUDA MFUPI
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndg. Masanja Kungu Kadogosa ametembelea kipande cha reli kati ya stesheni za Buiko na Hedaru mkoani Kilimanjaro Soma zaidi
-
21
May
2020WANANCHI WAMSHUKURU MH. RAIS JPM KWA KULIPWA FIDIA KWA WAKATI WALIOPITIWA NA UJENZI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la ulipaji Fidia kwa wananchi waliopitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Dodoma Hivi karibuni Mei ,2020. Soma zaidi
-
18
May
2020ULIPAJI FIDIA WAENDELEA - ZAIDI YA MILIONI 28 ZALIPWA WANANCHI WAFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS JPM
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yamepitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Singida Mei 16, 2020. Soma zaidi
-
14
May
2020WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR alipotembelea awamu ya kwanza ya ujenzi kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa- Morogoro 14 Mei, 2020. Soma zaidi
-
09
May
2020WANANCHI ZAIDI YA ELFU MOJA NA MIA TATU WAMEPOKEA HUNDI KATIKA ZOEZI LA FIDIA IHUMWA - DODOMA
Wananchi zaidi ya 1,300 wamepokea hundi katika zoezi la malipo ya fidia Ihumwa jijini Dodoma , ikiwa ni zoezi endelevu linalofanyika katika mtaa wa Ihumwa ili kuhakikisha wananchi wote waliopitiwa na mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha Morogoro - Makutupora Soma zaidi
-
08
May
2020WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
Wananchi jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupata fidia Soma zaidi

