Habari Mpya
-
09
June
2020MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI – TIRP DAR ES SALAAM - ISAKA WAFIKA 85%
Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP unaogharimu Dola za Kimarekani Milioni 300 upo mbioni kukamilika baada ya mradi huo kufika 85% baada ya kazi kubwa iliyofanyika kati ya Dar es Salaam – Isaka umbali wa Kilometa 970 tangu ulipoanza rasmi utekelezaji wake mwezi Juni 2018. Soma zaidi
-
31
May
2020KADOGOSA: TUTAREJESHA SAFARI ZA TRENI KATI YA TANGA, KILIMANJARO NA ARUSHA NDANI YA MUDA MFUPI
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndg. Masanja Kungu Kadogosa ametembelea kipande cha reli kati ya stesheni za Buiko na Hedaru mkoani Kilimanjaro Soma zaidi
-
21
May
2020WANANCHI WAMSHUKURU MH. RAIS JPM KWA KULIPWA FIDIA KWA WAKATI WALIOPITIWA NA UJENZI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la ulipaji Fidia kwa wananchi waliopitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Dodoma Hivi karibuni Mei ,2020. Soma zaidi
-
18
May
2020ULIPAJI FIDIA WAENDELEA - ZAIDI YA MILIONI 28 ZALIPWA WANANCHI WAFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS JPM
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yamepitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Singida Mei 16, 2020. Soma zaidi
-
14
May
2020WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR alipotembelea awamu ya kwanza ya ujenzi kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa- Morogoro 14 Mei, 2020. Soma zaidi
-
09
May
2020WANANCHI ZAIDI YA ELFU MOJA NA MIA TATU WAMEPOKEA HUNDI KATIKA ZOEZI LA FIDIA IHUMWA - DODOMA
Wananchi zaidi ya 1,300 wamepokea hundi katika zoezi la malipo ya fidia Ihumwa jijini Dodoma , ikiwa ni zoezi endelevu linalofanyika katika mtaa wa Ihumwa ili kuhakikisha wananchi wote waliopitiwa na mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha Morogoro - Makutupora Soma zaidi

