Habari Mpya
-
08
May
2020WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
Wananchi jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupata fidia Soma zaidi
-
04
May
2020TRENI YA KWANZA YA MIZIGO YAWASILI KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua rasmi bandari kavu ya Kwala ambapo Treni ya Kwanza iliyobeba Behewa za mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam imewasili katika Bandari hiyo iliyopo Kibaha mkoani Pwani hivi karibuni Mei, 2020. Soma zaidi
-
22
April
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA MKOANI DODOMA
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaeendelea na zoezi la ulipaji fidia jijini Dodoma kwa wananchi wote waliopitiwa na njia ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kwa awamu ya pili Morogoro - Makutupora Soma zaidi
-
14
April
2020MKURUGENZI MKUU TRC AZINDUA RASMI MFUMO WA MASIJALA MTANDAO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa amezindua mfumo wa kidigitali wa Masijala Mtandao (E - Filling) katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu TRC jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2020. Soma zaidi
-
04
April
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO WA UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
Shirika la Reli Tanzania – TRC lazindua rasmi mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielekroniki katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam Aprili 4, 2020. Soma zaidi
-
24
March
2020WATUMISHI WA TRC WALIOFARIKI KATIKA AJALI MKOANI TANGA WAAGWA RASMI
Miili ya wafanyakazi watano wa Shirika la Reli Tanzania – TRC waliofariki kutokana na ajali ya treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge katika eneo lililopo kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda mkoani Tanga imeagwa rasmi katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo Machi 24. 2020 Soma zaidi

