Habari Mpya
-
18
September
2019BANDARI KAVU YA ISAKA KUONGEZEWA UWEZO KUPITIA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR - ISAKA
Mradi wa Uboreshaji reli ya kati Dar - Isaka umepelekea kuongeza uwezo wa kupokea, kuhifadhi na kupakua mizigo Bandari Kavu ya Isak Soma zaidi
-
16
September
2019MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI – TIRP DAR ES SALAAM ISAKA WAFIKIA 40%
Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP Dar es Salaam – Isaka wafikia 40% tangu kuanza utekelezaji wake mwezi Juni 2018. Mradi huo unahusisha uboreshaji wa miundombinu ya reli Soma zaidi
-
12
September
2019TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA KUHAMISHA MAKABURI WILAYA YA BAHI MKOA WA DODOMA
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la Kuhamasisha Kuhamisha makaburi katika Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Soma zaidi
-
11
September
2019TRC NA DIT ZATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA KUKUZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA HUDUMA ZA USAFIRI WA RELI
Shirika la Reli Tanzania – TRC limetiliana saini mkataba na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam – DIT kwa lengo la kushirikiana katika kutoa mafunzo, kufanya utafiti, na kuendeleza matumizi ya teknolojia katika huduma za usafiri wa reli, Soma zaidi
-
06
September
2019RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WATEMBELEA BANDA LA TRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Kaguta Museveni wa Uganda wafungua kongamano la kwanza la Biashara kati ya Tanzania na Uganda Soma zaidi
-
30
August
2019UCHORONGAJI MILIMA KWA AJILI YA UJENZI WA MAHANDAKI YATAKAZOPITISHA RELI YA KISASA YAENDELEA KWA KASI
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na usimamizi wa Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR Kilosa mkoani Morogoro, ambapo kazi kubwa katika eneo hilo ni uchorongaji Milima kwa ajili ya ujenzi wa mahandaki ‘tunnels Soma zaidi