Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


  • UJENZI WA MAHANDAKI RELI YA KISSA - SGR WAANZA RASMI MKOANI MOROGORO
    23
    July
    2019

    UJENZI WA MAHANDAKI RELI YA KISSA - SGR WAANZA RASMI MKOANI MOROGORO

    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi uchorongaji Milima Soma zaidi

  • WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFANYA UFUNGUZI WA RELI YA TANGA - MOSHI/ KILIMANJARO
    21
    July
    2019

    WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFANYA UFUNGUZI WA RELI YA TANGA - MOSHI/ KILIMANJARO

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe . Kassim Majaliwa amefanya ufunguzi wa njia ya reli ya Tanga mpaka Moshi / Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika mjini Moshi , Kilimanjaro hivi karibuni Julai 2019, Soma zaidi

  •  RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO AMPONGEZA JPM KWA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR.
    14
    June
    2019

    RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO AMPONGEZA JPM KWA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR.

    . Soma zaidi

  • ​ZOEZI LA KUHAMISHA MAKABURI KUONGEZA KASI YA MRADI WA SGR MORO -MAKUTUPORA
    13
    June
    2019

    ​ZOEZI LA KUHAMISHA MAKABURI KUONGEZA KASI YA MRADI WA SGR MORO -MAKUTUPORA

    ​Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la kuhamisha makaburi katika maeneo ambayo Reli ya Kisasa - SGR inapita kuanzia Morogoro hadi Makutupora mkoani Singida, hivi karibuni Juni 2019. Soma zaidi

  • ​WAZIRI WA VIWANDA NA UWEKEZAJI SUDAN KUSINI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR.
    13
    June
    2019

    ​WAZIRI WA VIWANDA NA UWEKEZAJI SUDAN KUSINI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR.

    .Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Sudan Kusini Ndugu Paul Mayomu atembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR kipande cha Daresalaam - Morogoro, Ziara hiyo imefanyika hivi karibuniJune , 2019. Soma zaidi

  • MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA KUPANDISHA THAMANI YA ARDHI
    19
    May
    2019

    MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA KUPANDISHA THAMANI YA ARDHI

    4Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi afanya ziara katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Soga Kibaha mkoani Pwani hivi karibuni Mwezi 2019. Soma zaidi