Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • TRENI YA DELUXE YAWASILI MOSHI MKOANI KILIMANJARO IKITOKEA DAR ES SALAAM
  02
  December
  2019

  TRENI YA DELUXE YAWASILI MOSHI MKOANI KILIMANJARO IKITOKEA DAR ES SALAAM

  Treni ya abiria ya Deluxe yawasili Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mara ya kwanza ikitokea Dar es Salaam kwa lengo la kufanya majaribio ya njia ili kuhakikisha usalama wa abiria na mali zao Soma zaidi

 • ​VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA DAR ES SALAAM – MOROGORO
  29
  November
  2019

  ​VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA DAR ES SALAAM – MOROGORO

  Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dkt. Edmund Mndolwa wametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro eneo la Vingunguti hadi Stesheni jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. Soma zaidi

 • SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA ILI KUPISHA UJENZI WA NGUZO ZA UMEME WA SGR
  14
  November
  2019

  SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA ILI KUPISHA UJENZI WA NGUZO ZA UMEME WA SGR

  Shirika la Reli Tanzania laendelea na zoezi la ulipaji fidia ili kupisha ujenzi wa Miundombinu ya kusafirisha umeme katika mradi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi

 • ​MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI NORDIC NA AFRIKA WATEMBELEA MRADI WA SGR
  09
  November
  2019

  ​MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI NORDIC NA AFRIKA WATEMBELEA MRADI WA SGR

  Mawaziri wa Mambo ya nje kutoka nchi za Nordic na Afrika watembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Soma zaidi

 • KIPANDE CHA PILI MOROGORO-MAKUTOPORA UJENZI WA SGR WAZIDI KUNOGA.
  24
  October
  2019

  KIPANDE CHA PILI MOROGORO-MAKUTOPORA UJENZI WA SGR WAZIDI KUNOGA.

  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Elias John Kwandikwa amezindua utandikaji wa Reli ya kisasa kipande cha Pili Morogoro - Makutopora hivi karibuni Oktoba 2019. Soma zaidi

 • SHIRIKA LA RELI TANZANIA NA CLOUDS MEDIA GROUP WAADHIMISHA MIAKA 20 YA MWL. NYERERE
  19
  October
  2019

  SHIRIKA LA RELI TANZANIA NA CLOUDS MEDIA GROUP WAADHIMISHA MIAKA 20 YA MWL. NYERERE

  Shirika la Reli Tanzania – TRC pamoja na ‘Clouds Media Group’ (CMG) waadhimisha miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kufanya safari ya kihistoria kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma Soma zaidi