Habari Mpya
-
13
December
2019KAMPUNI YA WASAFI CLASSIC BABY (WCB) KUSAFIRI NA TRENI YA DELUXE KUELEKEA KIGOMA
Kampuni ya Wasafi (WCB) ambayo pia inasimamia wanamuziki wa kizazi kipya na vyombo vya habari nchini inatarajia kufanya safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma Soma zaidi
-
12
December
2019MKURUGENZI MKUU TRC AFUNGUA WIKI YA SHIRIKA LA RELI TANZANIA LEO KWA KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI HABARI
-
10
December
2019JESHI LA POLISI KIKOSI CHA RELI WAFANYA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Makao makuu ya polisi kikosi cha reli wamefanya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto hivi karibuni , maadhimisho hayo yanayofanyika kila mwishoni mwa mwaka kuanzia Tarehe 25 Novemba hadi 10 Disemba . Soma zaidi
-
07
December
2019TRC YAANZA KUTOA HUDUMA YA TRENI ZA ABIRIA KATI YA DAR ES SALAAM NA MOSHI
Shirika la Reli Tanzania - TRC laanza kutoa huduma ya usafiri wa treni za abiria iliyokuwa imesimama kwa zaidi ya miaka 25 kati ya Dar es Salaam na Moshi, safari hiyo imeanza rasmi katika stesheni ya Kamata jijini Dar es Salaam hivi karibjni Desemba, 2019. Soma zaidi
-
02
December
2019TRENI YA DELUXE YAWASILI MOSHI MKOANI KILIMANJARO IKITOKEA DAR ES SALAAM
Treni ya abiria ya Deluxe yawasili Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mara ya kwanza ikitokea Dar es Salaam kwa lengo la kufanya majaribio ya njia ili kuhakikisha usalama wa abiria na mali zao Soma zaidi
-
29
November
2019VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA DAR ES SALAAM – MOROGORO
Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dkt. Edmund Mndolwa wametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro eneo la Vingunguti hadi Stesheni jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019. Soma zaidi