Habari Mpya
-
05
August
2020WAZIRI NDITIYE: SAFARI ZA TRENI ARUSHA – MOSHI KUANZA HIVI KARIBUNI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amefanya ziara kukagua kazi ya ufufuaji wa reli kati ya Moshi hadi jijini Arusha kwa kutumia treni ya uhandisi ya Shirika la Reli Tanzania – TRC hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi
-
04
August
2020TRC YAANZA KUTOA ELIMU YA UELEWA KUHUSU ULINZI NA USALAMA WA RELI JIJINI ARUSHA
Shirika la Reli Tanzania – TRC limeanza kampeni ya uelewa itakayofanyika kwa siku saba ikiwa ni muendelezo wa mpango wa kuelimisha umma kuhusu ulinzi na usalama wa miundombinu ya reli kwa wananchi katika mikoa ya Arusha, Moshi na Tanga, kampeni hiyo imeanza rasmi Agosti 3, 2020. Soma zaidi
-
03
August
2020ZOEZI LA ULIPAJI WA FIDIA KUPISHA UJEZI WA SGR MOROGORO – MAKUTUPORA LAZIDI KUPAMBA MOTO JIJINI DODOMA
Shirika la reli Tanzania linaendelea na zoezi la ulipaji wa fidia kwa wakazi wa jiji la Dodoma ambao maeneo yao yalitwaliwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kipande cha pili kutoka Morogoro,Dodoma hadi Makutupora hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi
-
30
July
2020TRC YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO NA WADAU KATIKA KUBORESHA MAISHA YAJAMII ZINAYOISHI PEMBEZONI MWA RELI
Shirika la reli Tanzania – TRC limekutana na kutiliana saini mkataba wa makubaliano na wadau ili kuleta maendeleo katika jamii zinazoishi pembezoni mwa reli na wale ambao ardhi yao imetwaliwa na TRC kwa ajili ya kupisha mradi wa ujenzi wa SGR. Soma zaidi
-
28
July
2020WANANCHI IHUMWA WAISHUKURU SERIKALI NA TRC KWA KUWALIPA FIDIA ILI KUPISHA UJENZI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania laendelea na zoezi la ulipaji wa fidia kupisha ujenzi wa reli ya kisasa SGR kipande cha Morogoro - Makutupora,katika kata ya Ihumwa mkoani Dodoma hivi karibuni. Soma zaidi
-
15
July
2020WAFANYABIASHARA, VIJANA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI WA VIJIJI WAJIVUNIA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI
Shirika la Reli Tanzania limefanya kampeni ya ushirikishwaji wa jamii katika maendeleo ya mradi wa uboreshaji wa reli ya kati kuanzia Kilosa hadi Isaka, Julai 2020 hivi karibuni. Soma zaidi

