Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


  • ​WANANCHI MKOANI TABORA WAPONGEZA JITIHADA ZA UBORESHAJI WA RELI YA KATI
    16
    June
    2020

    ​WANANCHI MKOANI TABORA WAPONGEZA JITIHADA ZA UBORESHAJI WA RELI YA KATI

    Wananchi mkoani Tabora wamepongeza jitihada za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa kuboresha miundombinu ya reli mkoani Tabora kupitia mradi wa uboreshaji wa reli ya kati - TIRP, hivi karibuni Juni 2020. Soma zaidi

  • ​WAZAWA ZAIDI YA 1000 WANUFAISHWA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI
    12
    June
    2020

    ​WAZAWA ZAIDI YA 1000 WANUFAISHWA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI

    Mradi wa uboreshaji wa Reli ya Kati wawanufaisha vijana zaidi ya 1000 wanaofanya kazi katika mradi huo unaohusisha ukarabati wa reli kuanzia Dar es Salaa – Isaka. Soma zaidi

  • MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI – TIRP DAR ES SALAAM - ISAKA WAFIKA 85%
    09
    June
    2020

    MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI – TIRP DAR ES SALAAM - ISAKA WAFIKA 85%

    Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP unaogharimu Dola za Kimarekani Milioni 300 upo mbioni kukamilika baada ya mradi huo kufika 85% baada ya kazi kubwa iliyofanyika kati ya Dar es Salaam – Isaka umbali wa Kilometa 970 tangu ulipoanza rasmi utekelezaji wake mwezi Juni 2018. Soma zaidi

  • KADOGOSA: TUTAREJESHA SAFARI ZA TRENI KATI YA TANGA, KILIMANJARO NA ARUSHA NDANI YA MUDA MFUPI
    31
    May
    2020

    KADOGOSA: TUTAREJESHA SAFARI ZA TRENI KATI YA TANGA, KILIMANJARO NA ARUSHA NDANI YA MUDA MFUPI

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndg. Masanja Kungu Kadogosa ametembelea kipande cha reli kati ya stesheni za Buiko na Hedaru mkoani Kilimanjaro Soma zaidi

  • ​WANANCHI WAMSHUKURU MH. RAIS JPM KWA KULIPWA FIDIA KWA WAKATI WALIOPITIWA NA UJENZI WA SGR
    21
    May
    2020

    ​WANANCHI WAMSHUKURU MH. RAIS JPM KWA KULIPWA FIDIA KWA WAKATI WALIOPITIWA NA UJENZI WA SGR

    Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la ulipaji Fidia kwa wananchi waliopitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Dodoma Hivi karibuni Mei ,2020. Soma zaidi

  • ULIPAJI FIDIA WAENDELEA - ZAIDI YA MILIONI 28 ZALIPWA WANANCHI WAFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS JPM
    18
    May
    2020

    ULIPAJI FIDIA WAENDELEA - ZAIDI YA MILIONI 28 ZALIPWA WANANCHI WAFURAHISHWA NA UONGOZI WA RAIS JPM

    Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yamepitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani Singida Mei 16, 2020. Soma zaidi