Habari Mpya
-
14
April
2020MKURUGENZI MKUU TRC AZINDUA RASMI MFUMO WA MASIJALA MTANDAO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa amezindua mfumo wa kidigitali wa Masijala Mtandao (E - Filling) katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu TRC jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2020. Soma zaidi
-
04
April
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO WA UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
Shirika la Reli Tanzania – TRC lazindua rasmi mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielekroniki katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam Aprili 4, 2020. Soma zaidi
-
24
March
2020WATUMISHI WA TRC WALIOFARIKI KATIKA AJALI MKOANI TANGA WAAGWA RASMI
Miili ya wafanyakazi watano wa Shirika la Reli Tanzania – TRC waliofariki kutokana na ajali ya treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge katika eneo lililopo kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda mkoani Tanga imeagwa rasmi katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo Machi 24. 2020 Soma zaidi
-
19
March
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAENDELEA NA MAFUNZO KUHUSU NAMNA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na mafunzo kuhusu namna ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona Soma zaidi
-
17
March
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA LASITISHA HAFLA YA KUKABIDHI BEHEWA 40 ZA MIZIGO KUTOKANA NA UGONJWA WA CORONA
Shirika la Reli Tanzania – TRC lasitisha hafla ya kukabidhi Behewa 40 za Mizigo kufuatia agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Soma zaidi
-
12
March
2020*WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA RELI WAPATA MAFUNZO JUU YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA CORONA.
Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania wapata mafunzo juu ya kujikinga na ugonjwa hatari la korona katika semina elekezi ya ugonjwa huo wa Virusi vya Corona ambao kwa sasa umekua tishio duniani kote iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano TRC hivi karibuni machi, 2020. Soma zaidi