Habari Mpya
-
25
September
2020MKURUGENZI MKUU TRC ASHIRIKI MAHAFALI YA 27 YA SHULE YA MSINGI ITIGI RELI
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika a Reli Tanzania Ndugu Masanja Kungu Kadogosa ashiriki katika sherehe ya mahafali ya 27 ya Shule ya Msingi ya Itigi Reli mkoani Singida hivi karibuni Septemba 2020. Soma zaidi
-
14
September
2020ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA KUPISHA UJENZI WA RELI YA KISASA SGR MORGORO – MAKUTUPORA LAZIDI KUPAMBA MOTO JIJINI DODOMA
Shirika la Reli Tanzania TRC linaendelea na zoezi la ulipaji wa fidia jijini Dodoma kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kipande cha Morogoro Makutupora,hivi karibuni septemba 2020. Soma zaidi
-
07
September
2020WANANCHI NA WAZEE WA MAGINDU WILAYA YA KIBAHA MKOANI PWANI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KULIPA FIDIA ZAO
Wananchi wa Magindu Wilaya ya Kibaha mkoani pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kulipa Fidia zao hivi karibuni Septemba 2020. Soma zaidi
-
04
September
2020WANANCHI MKOANI MOROGORO WASISITIZWA KUTUMIA FEDHA ZA FIDIA KWA KIUSAHIHI
Wananchi wa Kata za Pangawe, Yespa, Mtego wa Simba, Kihonda Kaskazini, Lukobe na Kingolwira mkoani Morogoro walipwa fidia zao ili kupisha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR mkoani humo, hivi karibuni Septemba,2020 Soma zaidi
-
01
September
2020WANANCHI KATA YA NGETA, RUVU MINAZI MIKINDA WAISHUKURU TRC KWA ULIPAJI WA FIDIA
Wananchi wa kata ya Ngeta na Ruvu Minazi Mikinda waishukuru Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa kulipwa fidia za makazi na ardhi mkoani Pwani Agosti 31, 2020. Soma zaidi
-
30
August
2020SERIKALI YAWAPA HAMASA WANAKIJIJI KINONKO KUFANYA MAENDELEO
Serikali imetoa hamasa kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Kinonko katika kujikita kufanya maendeleo baada ya zoezi la ulipaji wa fidia linalofanywa na Shirika la Reli Tanzania ili kupisha ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro, Agosti 2020 hivi karibuni. Soma zaidi

