Habari Mpya
-
15
August
2020SHIRIKA LA RELI LAENDELEA NA KAMPENI YA ELIMU YA UELEWA KUHUSU USALAMA NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA RELI
Katika muendelezo wa Kampeni ya Uelewa kuhusu namna ya kudhibiti ajali katika reli kwa kuzingatia alama za usalama katika miundombinu ya reli Shirika limeendelea na zoezi hilo kwa kufanya mikutano na wananchi Soma zaidi
-
14
August
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI WASHIRIKIANA KITAALUMA
Shirika la Reli Tanzania – TRC na Baraza la Uongozi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji – NIT wamefanya mazungumzo huku lengo likiwa kuimalisha uhusiano baina yao sambamba na kuona changamoto ya rasilimali watu katika taaluma ya reli. Soma zaidi
-
13
August
2020TRENI YA KWANZA YA MIZIGO YA MAJARIBIO YAWASILI JIJINI ARUSHA BAADA YA ZAIDI YA MIAKA 30
Treni kwanza ya mizigo ya majaribio yawasili katika Stesheni ya Arusha baada ya zaidi ya miaka 30 ikitokea Tanga na kupokekewa na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika Stesheni Arusha Agosti 13, 2020. Soma zaidi
-
12
August
2020MKUU WA WILAYA YA ARUMERU,TRC ANA KWA ANA NA WANAMERU KUENDELEZA KAMPENI YA UELEWA KUEPUSHA AJALI NA ULINZI WA RELI.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh. Jerry Muro ameambatana na Viongozi kutoka Shirika la Reli Tanzania – TRC kuendeleza kampeni ya uelewa kuhusu ulinzi na usalama wa miundombinu ya reli inayoendelea katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha Agosti 2020. Soma zaidi
-
11
August
2020MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA RASMI KAMPENI YA UELEWA KUEPUSHA AJALI RELINI MKOANI HUMO
-
10
August
2020CHAMA CHA SAIDIA WAZEE TANZANIA (SAWATA) WATEMBELEA MRADI WA SGR.
Chama cha saidia Wazee Tanzania watembelea mradi wa wa ujenzi wa reli ya kisasa -SGR kwa kipande cha kwanza Dar mpaka Ruvu mkoa wa pwani hivi karibuni Agosti 2020. Soma zaidi