KATIBU MKUU KIONGOZI AFANYA ZIARA KWALA AKAGUA BANDARI KAVU NA KARAKANA YA SGR

16
May
2022
May
2022
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga akagua bandari kavu ya kwala pamoja na kituo cha treni za kisasa za mizigo na karakana, Kwala mkoani Pwani Mei 15, 2022.