Habari Mpya
-
11
October
2022TRC YAFUNGUA WIKI YA USALAMA WA RELI TANZANIA
Shirika la Reli Tanzania – TRC yafungua wiki ya usalama wa reli ambayo huadhimishwa kila mwaka kuanzia tarehe 10 hadi 13 mwezi Oktoba Soma zaidi
-
10
October
2022AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA UELEWA KWA JAMII KUHUSU SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na awamu ya pili ya Kampeni ya Uelewa kwa jamii kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR kipande cha Mwanza – Isaka katika mkoa wa Shinyanga na baadaye kuifikia mikoa ya Mwanza na Simiyu, Oktoba 2022. Soma zaidi
-
09
October
2022MIAKA 3 MFULULIZO SHULE YA MSINGI ITIGI RELI YAWA KINARA KITAALUMA
Shule ya Msingi Itigi Reli inayosimamiwa na Shirika la Reli Tanzania – TRC iliyopo wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida imefanya mahafali ya 28 Soma zaidi
-
28
September
2022TRC YAZINDUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WATAKAOSIMAMIA UENDESHAJI WA SGR
Shirika la reli Tanzania - TRC limezindua mafunzo kwa vitendo kwa watendaji wa TRC yatakayotolewa na wataalamu kumi na watano (15) kutoka Shirika la Reli la Korea – KORAIL Soma zaidi
-
27
September
2022KAMATI ZA BUNGE ZASAFIRI KWA SGR DODOMA HADI DAR ES SALAAM
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Uwekezaji Mitaji ya Umma zimefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
16
September
2022WATAALAMU MAMLAKA ZA HALI YA HEWA BARANI AFRIKA NA ULAYA WAZURU SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea wajumbe takribani 150 kutoka Mamlaka za Hali ya Hewa Barani Afrika na Mashirika ya Satelite Barani Ulaya kutembelea ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR Septemba 15, 2022. Soma zaidi

