Habari Mpya
-
05
September
2022TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA UTWAAJI ARDHI MKOANI SHINYANGA
TRC imefanya zoezi la uhamishaji makaburi katika vijiji vya Didia, Sumbigu, Ishololo, Puni, Nyashimbi, Zobogo, Bunonga na Sumbigu Wilaya ya Shinyanga vijijini Septemba 2022 Soma zaidi
-
27
August
2022TCB KUJIONEA FURSA ZILIZOPO KATIKA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea kufanya ziara na menejimenti kutoka benki ya TCB kutembelea mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam - Morogoro Soma zaidi
-
25
August
2022WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA SGR MWANZA – ISAKA WAENDELEA KULIPWA STAHIKI ZAO
Zoezi la malipo ya fidia kupisha mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR linaendelea kufanyika kwa wananchi wa mkoa wa Mwanza na Shinyanga Soma zaidi
-
24
August
2022BENKI YA TCB YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea ugeni wa menejimenti kutoka benki ya TCB na kutembelea mradi wa Reli ya Kisasa – SGR Soma zaidi
-
02
August
2022TRC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA ZAMBIA KUPITIA USAFIRISHAJI WA NJIA YA RELI
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema amefanya ziara nchini Tanzania na kupata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Soma zaidi
-
20
July
2022WAZIRI WA UCHUKUZI ZAMBIA ATEMBELEA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea ugeni wa Waziri wa Uchukuzi kutoka nchini Zambia na kutembelea mradi wa reli ya kisasa - SGR kutoka Dar es Salam hadi Kwala mkoani pwani hivi karibuni Julai, 2022 Soma zaidi